BAADHI YA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE MWAKA JANA WAKIWA DARASANI KATIKA SHULE MOJA JIJINI DSM;
Ticha: Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa?
Dent 1: Siyo mimi....
Dent 2: Mi wala sihusiki....
Dent 3: Kwanza mimi jana sikuja shule.....
[Ticha alipoona kuwa wanafunzi wote ni majuha, akaamua kumuita Mkuu wa Shule. Mkuu akawauliza swali lile lile na mambo yakawa vile vile. Ndipo Mkuu alipomwita mwalimu pembeni na kumnong'oneza; "LAKINI UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO DARASA HILI?"
Tags:
ha ha ha ha ndio maana matokeo ya mwaka huuu round about ziko nyingi...
Mwalimi wa somo alitaka kuwaonea watoto wa watu wakati hawaakuhusikia na kifo cha Mkwawa.Mbaya zaidi na Mwl Mkuu ni zezeta vile vile hahaahahahahaaaaaaaa
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa @ Chaoga, round abaut.
Ha haa haa haa... Chaoga wewe hatari.
Dismas... iwapo Mwl Mkuu ni zezeta unategemea watoto wangejuaje? Ha haa haa haa haa
Ndomaana 60% wakataga kwenye matokeo ya form IV
ha haa haaa.watoto wanashinda facebook wataacha kufeli.
Teh teh mwalimu alitaka kuwasingizia watoto wa watu, kumbe na wao wajanja wakamkatalia.
Hahahahahahahahaha mwalimu weeeeeeeeee
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by