Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwambia baba yake kaniposee msichana fulani.. Baba yake akamwambia tafuta kwingine yule ni dadako ila mamako hajui, usimwambie, Kijana akatafuta mwingine baba akamwambia na huyo ni dadako ila mamako hajui, wa tatu tena hivyo hivyo kijana akamind akawambia mamake, Mamake akamwambia kaoe yoyote kati yao yeye huyo si babako ila hajui...
Tags:
ha ha ha walahi ndio maana sie waluguru mtoto wa dada yako ndio wako...
ha haaa ahaa,hapo ngoma drooo.
LOL! rotten or super active family ha ha haa
DAH NGOMA DROO KWELI HA HA HA HA HA
hahahahahah kudadadeki mama kapinda na mshuwa nae doh! lol hapo alieuza cheni kauza cheni bandia na alietoa pesa katoa pesa bandia kwa wakazi wa mjini wanasema 0 0 lol
ha ha ha a ha ha ha haaaaa wote wawili wezi wa kutumia akili,
Hii chiboko... hapa hakuna wakumpa talaka mwenzie
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by