Tulonge

Kuna jamaa alilala mdomo wazi usiku,kwa bahati mbaya panya akaingia akifikili ni pango lake...jamaa alivyoenda hospitali kuangalia namna ya kumtoa panya huyo!!! Daktari wa zamu usiku huo akamwambia hakuna njia nyingine ya kumsaidia bali njia pekee iliyobaki ni kwa huyo mgonjwa kumeza paka ili akamtimue huyo panya.

Views: 598

Replies to This Discussion

Teteheeteheteeeee, sasa panya atatoka, paka je? si atabaki humo humo tumboni. bora abaki panya coz ni mdogo kuliko paka, hahahahaa

duuuh ha ha ha ah huyo dokta nazani chakachua teh teh teh te...

Ipo kazi hapo hakuna jinsi borab wataaramu wameamua.

tehetheteheeeee!! huyu doc ndiyo yule wa hedek in the stomach nini?

Hahahahahahaha! Hiii kali aiseee.

halafu ukishammeza paka akikataa kutoka inabidi ummeze MBWA....

Hahaahahaaaaa Chaoga chizi kweli, mwishoni utasema ammeze Chatu ili akakabiliane na mbwa

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*