Kuna jamaa mmoja raia wa Kenya alikamatwa na pombe haramu ya gongo ‘chang’aa’ iliyokuwa kwenye chupa na kufikishwa mahakamani. Hakimu baada ya kumsomea mshtaka yule Mjaluo aliuliza swali:
Msht: Nauliza ile chang’aa mmeikuta kwenye midomo yangu au ya chupa?” Hak; Kwenye mdomo wa chupa.”
Msht: Sasa kama chang’aa mmeikuta katika midomo ya chupa kwa nini mnastaki mimi? Sitakini chupa siyo mimi.”
Jibu lilimuacha hakimu mdomo wazi!