Tulonge

Jamaa kaingia Bar.

Jamaa: Mhudumu nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji.

Haraka sana mhudumu akagawa vinywaji.

Jamaa: Mhudumu nipe supu na kila mtu mpe supu, maana ninapo kunywa supu kila mtu lazima anywe supu.

Watu wakapewa supu, tena safari hii wakapiga makofi.

Jamaa: Mhudumu nipe bili, na kila mtu mpe bili yake maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake.

Zogo lilianzia hapo.

Views: 295

Replies to This Discussion

Hahahhaahhaaaaa nimejifunza kuwa natakiwa kuwa makini na ofa za walevi.

ha ha ha ha  aisee we acha tu wabongo kwa kupenda ofa hapo imekula kwao sasa...

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*