Jamaa wawili waliiba maembe Kiroba kizima wakakimbilia Mochwari bila kujua,wakati wanaingia wakaangusha maembe 2 mlangoni,na mlinzi alilala hakuwaona,aliposhtuka akasikia Jamaa wanagawana hii yako, hii yangu, hii yako,hii yangu, akakimbia kumwita doctor, njoo usikie Malaika na Shetani wanagawana Maiti, walipofka tu mlangoni wakasikia na zile mbili tulizoacha mlangoni? Doctor na Mlinzi mbiooo... Wakaona Maiti wamekwisha sasa zamu yao.
Tags:
Hahahahahahahahaa...Dah hii kiboko.
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh................hahahahahahahahahha!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by