Tulonge

Abiria: "Bwana ondoa gari joto
sana!!"
Konda: "Usituzingue wewe,
shuka upande fridge...."

Views: 442

Replies to This Discussion

Fridge tangu lini ikapandwa? Konda hajatulia huyo.

Atajijua mwenyewe huyo abiria, yeye si anataka baridi.

Christer Christopher said:

Fridge tangu lini ikapandwa? Konda hajatulia huyo.

hahahahahah! Akili za makonda wanazijua wenyewe.

makonda wengi wana maneno ya shombo na ndio maana hata mimi nikipandaga daradara nawapotezea, au nawajibu kwa dharau,

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*