Tulonge

Mtoto wa kiume aliyekuwa boarding school aliandika barua kwa baba yake akitaka pesa.

Son's request; Dad, condition critical at school, send money or else suicide.

Dad replied; situation at home very terrible, suicide approved.

Views: 371

Replies to This Discussion

tehetehetehe!! mtoto alikuwa anatingisha kiberiti akakuta ndiyo kwanza njiti zimejaa.

Hahahahhaaaa safi sana dingi. Dogo anajifanya kupiga mkwara.

hahahaaaa... mzee katoa ruksa kwani atakuwa amepunguza matatizo.. hahahaaa .. dogo lazima awe mpole!!

Ha haa haa haaa.... dogo alikuwa hajui kuwa dingi naye alipitia humo humo. Ha haa

ha ha ha huyu dogo kama aliiiga hii staili wenzie lazima azimie....

Heheheheheeheeeeeeeeee,  son & dad wote hamnazo!

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*