1. Kujiita romantic wakati upo single
2. Kungárisha VIATU wakati unaenda kupiga passpot size
3. Kukaa KITI cha mbele karibu na DEREVA alafu unamwambia KONDA shusha
4. Kumwamsha MGONJWA ili umpe dawa ya USINGIZI
5. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako baada ya maongezi
6. Kutafuta REMOTE ya TV kwa zaidi ya dakika 10 wakati TV ipo karibu yako
7. Kupunguza SAUTI ya radioili usome SMS
8. Kukataa KUPIMA wakati unataka kuishi kwa AFYA njema
9. Kuendelea kusoma ujinga huu uku ukiwa unacheka ujinga!!
Tags:
Almost yote ni ujinga labda hiyo number 5, si ujinga kuangalia balance kama umepigiwa kutoka abroad, maana nchi nyingine roaming ina charge mpigiwa!
.
hahaaa.. nimekupata kaka Eddie lakini hilo la number 5 kwa hapa bongo inakuwa ujinga ila ukiliushisha na nje ya tanzania hata hapa tu barani africa roaming inakuhusu!
hahahahahaha! Dah hiyo namba 4 ni noma aisee.. Sasa ameshalala unamwamsha ili iweje??
HAHAHA.. umeona alfan? mi nikipitia moja moja mbavu sina!! hahahaaa
hahahahahahaa! Dixon hiyo namba 9 inakuhusu aisee...hahahahah
Hahahahaa.. hiyo hata wewe na wengine inawahusu.. Mbona uhahahahahaaamerudi tena ?
Severin ukishacheka tu ujue hiyo inakuhusu......
hiyo namba nane imekaa sawa ha ha ha kuna lijamaa linapenda afya njema lakini joga la kupima na lishasema kabisa likipima halitaki majibu...
hahaaa.. ni nani huyo ? yupo humu kijijini kwetu ? @ Chaoga
mimi sisomi kabisa maana nitacheka ujinga,
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by