1. Kujiita romantic wakati upo single
2. Kungárisha VIATU wakati unaenda kupiga passpot size
3. Kukaa KITI cha mbele karibu na DEREVA alafu unamwambia KONDA shusha
4. Kumwamsha MGONJWA ili umpe dawa ya USINGIZI
5. Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako baada ya maongezi
6. Kutafuta REMOTE ya TV kwa zaidi ya dakika 10 wakati TV ipo karibu yako
7. Kupunguza SAUTI ya radioili usome SMS
8. Kukataa KUPIMA wakati unataka kuishi kwa AFYA njema
9. Kuendelea kusoma ujinga huu uku ukiwa unacheka ujinga!!
Tags:
Aisee manka unajua namba 9 inakuhusu wewe pia???
Hahahaa.. alfan umerudi tena ? hahahaa
Alfan Mlali said:
Aisee manka unajua namba 9 inakuhusu wewe pia???
Nimerudi lakini sijacheka...kwikwikwi
Dixon Kaishozi said:
Hahahaa.. alfan umerudi tena ? hahahaa
Alfan Mlali said:Aisee manka unajua namba 9 inakuhusu wewe pia???
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by