Tulonge

Mchungaji alikuwa anahubiri, katika mahubiri yake aliwauliza waumini nani angependa kwenda mbinguni akifariki, waumini wote kwa furaha waliinua mikono, hivyo basi mchungaji aliwaambia kuwa anatupa unyoya na utakaye mdondokea basi atafariki na kwenda mbinguni. kimbwanga kilianza alipoupuliza unyoya huo kila muumini alipokaribiwa na unyoya huo aliupulizia pembeni, unyoya ulizunguka huku na kule kwa kupulizwa na waumini, hatimaye unyoya huo ulirudia mchungaji ambaye naye aliupulizia pembeni na ukadondoka chini, ama kweli mbinguni kazi kweli kweli

Views: 487

Replies to This Discussion

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa, kwa style hii, kumuona mungu ni kazi kwani kila mmoja swala la kutangulia kufa ni noma,

we dada mary kama kinyoya kingekufuata wewe ungefanyaje?

Hahahhhaaa unacheza na kufa nn, kichaa mwenyewe anaogopa kufa

Hii nimeipenda, kuingia mbinguni wanapenda lakini wanaukataa ''MLANGO'' wa kuingilia mbinguni, there is no way you can go there, you must die first before going to heaven.

Mimi ningekubali unyoya uniangukie ili nife niende mbinguni.

Bonielly said:

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa, kwa style hii, kumuona mungu ni kazi kwani kila mmoja swala la kutangulia kufa ni noma,

we dada mary kama kinyoya kingekufuata wewe ungefanyaje?

Watu tunajisahau kuwa KUFA ni lazima na  KUISHI ni bahati.

Jacob Kitalika said:

Hii nimeipenda, kuingia mbinguni wanapenda lakini wanaukataa ''MLANGO'' wa kuingilia mbinguni, there is no way you can go there, you must die first before going to heaven.

hata ningekuwa mimi ningeupuliza pembeni tuu tena kwa nguvu zoteee na ningeondoka eneo la tukio faster manake usije unyoya ukaniangukia bila kujijua ha ha ha

Nini kichaa, kuku tu ukitaka mkamata umchinje ule nyama ni Ishu utafukuza mpk jasho likutoke mara mbili mbili, itakua kichaa ambaye ni binadamu, KIFO bana hakina RAFIKI.

Tulonge said:

Hahahhhaaa unacheza na kufa nn, kichaa mwenyewe anaogopa kufa

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*