Tulonge

MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi
ushavunja uaminifu wako wa ndoa
mara ngapi?


MKE:"Mara ya kwanza nililala na
mwenye nyumba,sababu alidai kodi
yake"


MUME:"Mmmh...sio mbaya"


MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa
operation ikawa hakuna pesa ikabidi
nilale na dokta ili utibiwe"


MUME:"Kweli unanijali mke wangu"


MKE:"Mara ya tatu ni ule wakati
ulipokuwa unaomba kura za
ubunge,ikabidi nitembee na wapiga
kura wote ili wakupigie kura! Ndo
maana ukashinda uchaguzi"
.
.
Mume akazimia

Views: 1032

Replies to This Discussion

Kweli huyu mke mkweli hahaahhahaaa

Hahahahahahhahahahhahahhahaaaaa safi sana WIFE! Unamjali mumeo sana!

huyu ndio mke wa kuwa nae teh teh teh kwa msiooa chukueni ushauri wa bure kabisa sie wengne ndio tushachelewa...

hahahahahahaaaaa huyu kweli mke,,, kafanya upuuzi sehemu muhimu,

heee!! kweli huyu mke mkwelii! hahahaaaa.

Huyu mke nimemkubali, yuko juu nadhani jina lake tumwite "MAMA HURUMA" ni zaidi ya mama nitilie!!!

hahahaaaa... Angekuwa hajaolewa angenifaa sana huyu.... hahahahaaaa

HA HA HA  ETI MAMA HURUMA SASA JAMANI KUMUONEA HURUMA MUMEWE KWANI VIBAYA..!!?

Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. said:

Huyu mke nimemkubali, yuko juu nadhani jina lake tumwite "MAMA HURUMA" ni zaidi ya mama nitilie!!!

AU SIO DIXON? UNAWEZA TIBIWA INDIA BILA KUCHANGIWA....

Dixon Kaishozi said:

hahahaaaa... Angekuwa hajaolewa angenifaa sana huyu.... hahahahaaaa

Kweli kabisa kaka!! yani basi tu ameisha olewa!

chaoga said:

AU SIO DIXON? UNAWEZA TIBIWA INDIA BILA KUCHANGIWA....

Dixon Kaishozi said:

hahahaaaa... Angekuwa hajaolewa angenifaa sana huyu.... hahahahaaaa

Hehehehehe jamani wapiga kura wote wa mtaa, kijiji, kata, wilaya au nini mmmmmmmmmm

si mchezo,wenye mapigo ya moyo badala ya kupiga lazima yadunde kwa kusikia ukweili huo!.ndio maana wahenga wasema usipende kuuliza sana maana unaweza kujibiwa ukaumizwa na majibu!.

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*