Mke na mme walienda club kupata vinwaji pamoja,mara mme akaenda counter kuagiza bia,mara kahaba akamfuata mke wa jamaa na kumwambia.
Dadangu unajuwa ? Yaani huyo jamaa usifanye naye ngono mpaka alipe kwanza,mana ukishampa halipi. ! ...... Ebu fikiriya kwamakini kipi kitatokeya apo jamaa akija???...
Tags:
ajajajajajajajajajajajaa! Hapo sipati picha kasheshe lake litakavyokuwa...asalaleeeee!!!
Kama vile namuona jamaa anavyotandikwa chupa ya pua??!!! hahahhhahahhaaha
Teh teh teh, inamaana jamaa huwa anakuja kwa machangu mara kwa mara. Siri nje nje,stuli za kichwa toka kwa mkewe lazima zianze.
huyu changu kaharibu kila kitu... hahahaaaa
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by