Mshkaji baada ya kiu kumbana ikabidi agonge nyumba ya karibu kuomba maji, akapewa maziwa. Akaomba tena, akapewa maziwa tena. Ikabidi aulize,
Mshkaji: Mbona mnagawa maziwa kwa wingi?
Dogo: Maziwa yameingia panya hivyo kila mtu hayataki.
Mshkaji akapigwa na butwaa, glasi ikamponyoka na kuvunjika.
Dogo kuona vile akapiga kelele, "Mama ile glasi ya bibi anayotemea mate imevunjikaaa".
Mshkaji chini, akazimia.
Tags:
Hahhahhhhahahahahaaaaaaaaaaa dogo anaweza ua mtu huyo, sipati picha jamaa atakapozinduka itakuwaje!
Nooooooooo... hahahaaa,.... huyo jamaa akizinduka ataua mtu.. HA HA HA HAAAA
hahahahahhaa...dah hizi issue zingine sijui huwa mnazitoa wapi nyie....
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by