Mtoto na kaka yake waliiba! wakiwa wanarejea, dogo alitangulia masafa maana mzigo wake ulikuwa mwepesi!mara hamadi.!! akakutana na mwenye shamba! "enheee we dogo leo nimekukamata , umeniibia nini?" DOGO "nyanya" MZEE "kama unataka usalama wako na nisikupeleke polisi, jiingize nyanya kumi kwenye makalio yako moja baada ya nyengine"! DOgo akavua suruali na kuziingiza huku akicheka! MZEE "unacheka nini raha au zinauma"
DOGO "zinauma kidogo ila nacheka kwa sababu kaka yuko nyuma anakuja na mananasi"!......
Tags:
ha ha ha ha ha ha lol kali sijui mananasi itakuwaje
ha ha ha na huyu mzee nae azabu gani za kumpa binadam mwenzio hizo? halafu ni watoto tu? si angewachapa mbakora..
hahahaahahaaa... anacheka huku anamuonea huruma kaka yake.. hahaha
omari karibu kijiweni mkuu ni vituko juu ya vituko...
hahahahahahahahahhhahahahahaa....tehetehteehetehetehetehetehete dah hii ni balaaa!!
Dogo mjinga kweli badala apige kelel ili amuokoe kaka yake yeye anachekelea kitakachomtokea ndugu yake..!!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by