Tulonge

MTOTO mmoja alitoa kali ya mwaka baada ya kutumwa na mama yake aende dukani akununue kiberiti. Baada ya kurudi nyumbani, mama yake alimuuliza:

Mama: Umeisha nunua hicho kiberiti?
Mtoto: Ndiyo mama.
Mama: Umehakikisha ni kizima?
Mtoto: Ndiyo mama, nimezijaribu njiti zote zimewaka.
Mama: Haa! Mwanangu sasa tutawashia nini kama umewasha njiti zote?
Mtoto: Mama ningejuaje kama njiti ni nzima bila kuziwasha?


Mh! Mama alikosa cha kuzungumza akabaki kutikisa kichwa.

Views: 204

Replies to This Discussion

HILO TOTO NI LA KUPIGWA KWENZI!!

@ Manka huyo mtoto ana akili nyingi kuliko mama yake!!!!!

Huyu mtoto ni kama Denzil wangu, lazima ajaribu. Ha ha haaaa

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*