Kuna muhindi moja alivamiwa na majambazi yaliyokuwa na mapanga na walipoanza kubomoa mlango muhindi haraka akaweka ngazi na kumpandisha mke wake darini ambako ilikuwa juu sana. Kisha akapanda na pesa zote alizokuwanazo
Alipomaliza tu kupanda tu majambazi yakawa tayari yamevunja mlango.
Muhindi akavuta haraka ngazi darini.
Majambazi kuangalia chini yakaona watoto watatu. Yakaanza kuwapiga wale watoto na kuuliza pesa ziko wapi. Mtoto akasema baba kapanda nazo zote huko juu. Majambazi kuangalia darini ilikuwa juu sana na hakukua na uwezekano wa kupanda tena huko juu. Yakawakamata watoto na kisha kusema.
We kanjibai shuka haraka au tutupie pesa hizo lasiyo tunaua watoto wote chini.
Muhindi kwa kujiamini akasema. Ua yote maliza mashine niko nayo huku juu ntakuja tengeneza toto ingine.
Tags:
Hahahahhahaaaa muhindi noma, alikua anajiamini sababu printer ya kuvyatulia watoto alikua nayo juu
DAH HA HA HA HA A
HAHAHAHAHA Jamani aya bwana Christer.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by