Mke: Vipi mume wangu mbona umewahi kurudi na una majonzi?
Mume: Wenzangu wote ofisini wamefariki umetokea moto ghafla
Mke : Mungu wangu we umeponaje?
Mume: Tumbo lilikuwa linanisumbua naharisha, nikawa nimekwenda choo cha ofisi ya jirani, kile cha ofisi yetu kibovu, ndio kilichoniponesha
Mke: Nazionea huruma familia za wenzio sasa wataishije?
Mume: Nimesikia kuwa Bima itailipa kila familia ya marehemu milioni 20
Mke: Dah!! Unaona mambo yako ya kuharisha harisha umeikosesha familia yako milioni ishirini hivihivi.:
Tags:
Teh teh teh inamaana bora mil 20, kuliko mumewe? huyo mwanamke hafai.
HAFAI KABISA HUYU MAMA LOL KWELI AMECHIZIKA HA HA HA HA
hahahaha.. huyo mke nafukuza siku hiyo hiyo.. anaweza kukuchoma alafu akasema na wewe pia umeungua na moto.. hahahahaaa
hahahahahahahaha!
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by