Tulonge

kuna mzee anapenda mabinti wadogo, siku moja akamuona binti ana chati, basi mzee akazuga zuga mpaka akamuomba yule binti email yake, binti akamuandikia kwenye kikaratasi email iliyosomeka  umechoka_utanifia@yahoo.com Mzee nae akamuandikia yake haulipi_kiivyo@yahoo.com.....

Views: 605

Replies to This Discussion

Hahahahahahah! Mzee kumbe na yeye mjanja...

ha ha ah ah mzee muhuni sana huyu...naona binti kufika huko mbele atakuwa kajisikia vibaya sana.. yaani hadi mdingi hakumsifia je vijana!!?

haahaaaa! zee janja hilo.

Mimi ningekuwa huyo mzee ningemuandikia natumia_viagra@yahoo.com

hahahahahaha! Wewe ni noma@ Dismas

Ha haa haa haaaa.... mzee ubongo wake uko sharp..

 

Dismas nawe balaaa.... Ha haaa

huyo dingi kapinda kinoma,

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*