Tulonge

shekhe aliletewa zawadi ya pensi toka oman, alipendelea sana kuivaa na kanzu wakati wa swala, sasa ilitokea siku moja  shekhe alichelewa swala ya ijumaa, Akavaa kanzu fasta  nakusahau kuvaa pensi sasa wakati akitia udhu ( kunawa kabla kuingia msikitini) alipandisha kanzu juu chapchap na makalio yote yakawa nje bila kujua. waumini wakamuuliza kwa mshangao vipi tena maalim..!!?  shekhe akajibu "MNASHANGAA NINI? MAMBO YA OMAN HAYO....!

Views: 621

Replies to This Discussion

teheteheteheeee!!!  Kweli mambo ya oman.

ha ha ha ha dah umenivunja mbavu Chaoga lol mambo ya oman hayo

ha ha ha haaaaaaaaaaaa.

Hahahahaaa afadhali alikuwa shekh, angekuwa mwanamama ingekuwa balaa zaidi

hahahahaa..... Kwani tofauti ya Shekh na mwana mama ni ipi huko nyuma ?

Tulonge said:

Hahahahaaa afadhali alikuwa shekh, angekuwa mwanamama ingekuwa balaa zaidi

Teheteeheeeheteeeeeeeeeeee mambo ya OMAN kumwaga radhi shekhe jamani?

Kwiiiiiiiiiiiiiii haha haha haha kijana we noma haha haha

Dah mambo ya Oman hayo hahahahahha

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*