shekhe aliletewa zawadi ya pensi toka oman, alipendelea sana kuivaa na kanzu wakati wa swala, sasa ilitokea siku moja shekhe alichelewa swala ya ijumaa, Akavaa kanzu fasta nakusahau kuvaa pensi sasa wakati akitia udhu ( kunawa kabla kuingia msikitini) alipandisha kanzu juu chapchap na makalio yote yakawa nje bila kujua. waumini wakamuuliza kwa mshangao vipi tena maalim..!!? shekhe akajibu "MNASHANGAA NINI? MAMBO YA OMAN HAYO....!
Tags:
ha ha ha ha dah umenivunja mbavu Chaoga lol mambo ya oman hayo
ha ha ha haaaaaaaaaaaa.
Hahahahaaa afadhali alikuwa shekh, angekuwa mwanamama ingekuwa balaa zaidi
hahahahaa..... Kwani tofauti ya Shekh na mwana mama ni ipi huko nyuma ?
Tulonge said:
Hahahahaaa afadhali alikuwa shekh, angekuwa mwanamama ingekuwa balaa zaidi
Teheteeheeeheteeeeeeeeeeee mambo ya OMAN kumwaga radhi shekhe jamani?
Kwiiiiiiiiiiiiiii haha haha haha kijana we noma haha haha
Dah mambo ya Oman hayo hahahahahha
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by