Tulonge

mfagiaji wa kwenye ndege aliokota > kitabu ndani ya ndege kilichokuwa kimeandikwa hivi: > 1. ukitaka kuwasha ndege bonyeza kitufe chekundu. jamaa  akabonyeza ndege ikawaka grrrruuuummmm! > 2.ukitaka ndege ianze kutembea bonyeza kitufe cha kijani. > jamaa akabonyeza na ndege ikaanza kutembea aaaangghhh! > 3. ukitaka ndege ipae bonyeza kitufe cha njano. jamaa > akabonyeza na ndege ikapaa uwaaaaaaa! > SASA kuona vile yule jamaa akasema "yaani kuna watu ni > mabwege kweli yaani wana poteza pesa kwenda kwenye mavyuo > kusomea urubani wakati kitu EASY tu, pumbavu kabisa" > baada ya ndege kwenda zaidi akaanza kuperuzi kile kitabu ili > atafute maelezo zaidi jinsi ya kutua na kusimama, lakini > akakuta hii: > 4. ukitaka kujua mambo mengine zaidi kuhusu kuendesha ndege, > jiunge katika vyuo vyetu kwa anuani zetu zilizopo pale > airport. jamaa kuona vile akazimia palepale.... baadaye > akazinduka na kupitia dirishani akagundua ndege iko juu ya > bahari na alarm na kitaa chekundu kinawaka kuonesha "you are > running out of fuel".......!

Views: 486

Replies to This Discussion

ha ha haaaaaaaaaaaaa.

Hahahhahaaa hapo lazima usali sala zako zote. Sasa lenyewe linaipaisha ndege kabla halijajua kama kuna maelezo ya kuishusha.

Hata mimi nilipokuwa nafundishwa gari, kitu cha kwanza kuuliza ilikua ni breki. Kweli zuzu hilo jamaa.

Ha haa haa haa haa.... alipasa kusoma kijitabu chote kabla hajabonyeza kitufe chekundu. Natamani ningekuwemo humo ndani ya ndege.

alishaanza kudharau watu waliosoma teh teh teh teh...

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*