Tulonge

"MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe alikuwa hajatulia hata kidogo.

Siku moja mkewe akiwa anajivinjari na msela, MLEVI akarudi home ghafla. mkewe akamwambia yule msela
Usiondoke, lala hivo hivo mume wangu mlevi hatagundua.......Msela akalala kweli........basi mlevi akapanda kitandani wote watatu wakalala.....

Baada ya muda kidogo mlevi akagutuka, akagundua utofauti hapo kitandani, akahesabu miguu na kuona ipo sita, akamshtua mkewe,....."mke wangu,mbona miguu ipo sita nani kalala hapa??"....

Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka hapa na pombe zako,miguu sita itoke wap hebu shuka kitandani uhesabu vizuri..!

Mlevi akashuka, akahesabu.. MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA KUMBE

KWELI NILIKOSEA KUHESABU,SAMAHAN MKE WANGU!!!

POMBE.................................TONE MOJA LA ZIADA...............................

Views: 628

Replies to This Discussion

Hahhaahahahhhaahahahaahaaaaa, ulevi nouma!!! wacha wamsaidie huyo.

Hahahahaaa... huyo boksi kabisa... hahahaa Achana na kitu ULEVI

Umenikumbusha mlevi mwingine aliamka usiku kwenda kukojoa.. aliporudi kitandani akamwambia mkewe.. Mkewangu.. kweli leo maajabu.. nimefungua tu mlango.. TAA ikawaka, nikakojoa na nilipo maliza nikafunga mlango TAA ikazima..

Ndipo mkewe akamjibu.. pumbafu .. umeisha kojoa kwenye friji...

ha ha ha ha .....alaaaaa kumbeeee walahi ntaua mtu ha ha ha ha ha ha

hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa, @dicked     @dis  , ulevi sooooo,

Hahahahahahah! Duh inamaana yeye alihesabu migg tu hakuhesabu ni vichwa????

Hahahahaaha! Huyo ndio kaharibu kabisa....

Dixon Kaishozi said:

Hahahahaaa... huyo boksi kabisa... hahahaa Achana na kitu ULEVI

Umenikumbusha mlevi mwingine aliamka usiku kwenda kukojoa.. aliporudi kitandani akamwambia mkewe.. Mkewangu.. kweli leo maajabu.. nimefungua tu mlango.. TAA ikawaka, nikakojoa na nilipo maliza nikafunga mlango TAA ikazima..

Ndipo mkewe akamjibu.. pumbafu .. umeisha kojoa kwenye friji...

Hahahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaa Dixon hii ni nouma

Dixon Kaishozi said:

Hahahahaaa... huyo boksi kabisa... hahahaa Achana na kitu ULEVI

Umenikumbusha mlevi mwingine aliamka usiku kwenda kukojoa.. aliporudi kitandani akamwambia mkewe.. Mkewangu.. kweli leo maajabu.. nimefungua tu mlango.. TAA ikawaka, nikakojoa na nilipo maliza nikafunga mlango TAA ikazima..

Ndipo mkewe akamjibu.. pumbafu .. umeisha kojoa kwenye friji...

ha ha haaha ahaha haa, kweli tone moja tu zaidi lazima likuumbue.

Ha haa haaa.... hiyo ndio hasara ya pombe

Hii kali ya mwaka.... iwapo angekuwa mume wangu ningemtia bakora kisawasawaDixon Kaishozi said:

Hahahahaaa... huyo boksi kabisa... hahahaa Achana na kitu ULEVI

Umenikumbusha mlevi mwingine aliamka usiku kwenda kukojoa.. aliporudi kitandani akamwambia mkewe.. Mkewangu.. kweli leo maajabu.. nimefungua tu mlango.. TAA ikawaka, nikakojoa na nilipo maliza nikafunga mlango TAA ikazima..

Ndipo mkewe akamjibu.. pumbafu .. umeisha kojoa kwenye friji...Dixon Kaishozi said:

Hahahahaaa... huyo boksi kabisa... hahahaa Achana na kitu ULEVI

hahaaaaa!! hii kweli chiboko, ulevii nomaaaaa!!

Umenikumbusha mlevi mwingine aliamka usiku kwenda kukojoa.. aliporudi kitandani akamwambia mkewe.. Mkewangu.. kweli leo maajabu.. nimefungua tu mlango.. TAA ikawaka, nikakojoa na nilipo maliza nikafunga mlango TAA ikazima..

Ndipo mkewe akamjibu.. pumbafu .. umeisha kojoa kwenye friji...

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*