Jamaa ni muhudumu wa Mortuary sasa anajitambulisha kwenye harusi, my name is Kamugisha am working with Muhimbili, infwact my profweshinally yangu nahudumia watu ambao madaktari wameshindwa kunusuru uhai wao. Na leo nimekuja na BMW lakini BENZI nimemuachia mama koku atakuja badaye...
Tags:
slow slow YES movement..... (taratibu ndio mwendo)
Hahahaaa.. Pole Omary.. Nimekusifu kwa kumchukulia POA kwani ukisha soma tabia ya mtu basi kuishi naye haikupi tabu.. BIG UP Brother!!
Omary said:
yaani nilivyoambiwa kuwa nikimfuata mchizi naenda kama driver nilicheka kisha nikamuacha kama alivyo maana ndivyo walivyo utawafanyaje? na me sijamwambia kuwa ananifanya driver wake nimemuacha aridhike yeye ndivyo alivyo hawezi kubadilika.
Ha ha ha hahaaa ... we Chaoga .. Don't try me .... ( usinijaribu )
chaoga said:
slow slow YES movement..... (taratibu ndio mwendo)
Hahahahahhah..Umefunika balaa mkuu hahahahaha
Dixon Kaishozi said:
Hahahaaa.. Tupo juu hamta msemaje.. Hahahaa.. ndo yale yale ya "dont try me - eti usinijaribu mimi" mara utasikia "me and brother photocopy togeza - eti mimi na kaka yangu tunafanana" hahahaa..
Hahahahahaha...Chaoga unanivunja mbavu...
chaoga said:
slow slow YES movement..... (taratibu ndio mwendo)
hahahahaa.. walahi hiki kingereza kitatuoa roho... mwisho tutaongea matusi. HAHAHAHAHAAA
Juma anaendelea kubonga na KASIMU " Katelephone hebu ni-telephone cry .. ule m-cotton noo kati ya mtreebwa na water water" akimaanisha.. Kasimu hebu ni-simulie... ule m-mpambano kati ya mtibwa na majimaji...
HAHAHAHAAA
Ha haa haa haa haa haa....... unazidi kuniua. Ujue nilikuwa sijakuelewa ulivyokuwa wasema "Katelephone" kumbe anamaananisha Kasimu jina la mtu na kutafsiri kwenda kwenye kiingereza kama kasimu kadogo. Ha haa haa haa haa haa
Ujue lugha ya mwenzio ni ya mwenzio tu, hata na wao waingereza lugha yetu ya taifa inawasumbua sana tu. Baba Malaika anapokutana na mtanzania ambaye hajamzoea basi akiongea kiswahili ni vigumu sana kumuelewa sababu anatafsiri kinyume nyume halafu matamshi ngumu kumuelewa. Na mara nyingi akionja/kunywa ndio anajifanya mjanja ataka kuongea kiswahili, sijui pombe ndio dictionary yake???? Ha haa haa haa......

Hahahahahaha! mama Malaika umenichekesha sana..Kumbne wazungu wakilewa wanapiga kiswahili fasaha ahahahaha!
Mama Malaika said:
Ha haa haa haa haa haa....... unazidi kuniua. Ujue nilikuwa sijakuelewa ulivyokuwa wasema "Katelephone" kumbe anamaananisha Kasimu jina la mtu na kutafsiri kwenda kwenye kiingereza kama kasimu kadogo. Ha haa haa haa haa haa
Ujue lugha ya mwenzio ni ya mwenzio tu, hata na wao waingereza lugha yetu ya taifa inawasumbua sana tu. Baba Malaika anapokutana na mtanzania ambaye hajamzoea basi akiongea kiswahili ni vigumu sana kumuelewa sababu anatafsiri kinyume nyume halafu matamshi ngumu kumuelewa. Na mara nyingi akionja/kunywa ndio anajifanya mjanja ataka kuongea kiswahili, sijui pombe ndio dictionary yake???? Ha haa haa haa......
Dixon Kaishozi said:
hahahahaa.. walahi hiki kingereza kitatuoa roho... mwisho tutaongea matusi. HAHAHAHAHAAA
Juma anaendelea kubonga na KASIMU " Katelephone hebu ni-telephone cry .. ule m-cotton noo kati ya mtreebwa na water water" akimaanisha.. Kasimu hebu ni-simulie... ule m-mpambano kati ya mtibwa na majimaji...
HAHAHAHAAA
Haina tofauti na waswahili.. wakisha pata moja moto moja baridi basi utafikiri wameamia UK.. kila sentensi moja hukosi kingereza
hahahaaa
Mama Malaika said:
Ha haa haa haa haa haa....... unazidi kuniua. Ujue nilikuwa sijakuelewa ulivyokuwa wasema "Katelephone" kumbe anamaananisha Kasimu jina la mtu na kutafsiri kwenda kwenye kiingereza kama kasimu kadogo. Ha haa haa haa haa haa
Ujue lugha ya mwenzio ni ya mwenzio tu, hata na wao waingereza lugha yetu ya taifa inawasumbua sana tu. Baba Malaika anapokutana na mtanzania ambaye hajamzoea basi akiongea kiswahili ni vigumu sana kumuelewa sababu anatafsiri kinyume nyume halafu matamshi ngumu kumuelewa. Na mara nyingi akionja/kunywa ndio anajifanya mjanja ataka kuongea kiswahili, sijui pombe ndio dictionary yake???? Ha haa haa haa......
Dixon Kaishozi said:
hahahahaa.. walahi hiki kingereza kitatuoa roho... mwisho tutaongea matusi. HAHAHAHAHAAA
Juma anaendelea kubonga na KASIMU " Katelephone hebu ni-telephone cry .. ule m-cotton noo kati ya mtreebwa na water water" akimaanisha.. Kasimu hebu ni-simulie... ule m-mpambano kati ya mtibwa na majimaji...
HAHAHAHAAA
If anybody dont have child, cary the stone... akimaanisha " Asiye na mwana abebe jiwe"
Hahahahaaaa.. hizi lugha tuwaachie wenyewe... hahahaaa
haahaaahahahahahaa@@@ uwiii yaani wewe DIXON umenibreki mai mbavu zangu.
Dixon Kaishozi said:
hahahahaa.. walahi hiki kingereza kitatuoa roho... mwisho tutaongea matusi. HAHAHAHAHAAA
Juma anaendelea kubonga na KASIMU " Katelephone hebu ni-telephone cry .. ule m-cotton noo kati ya mtreebwa na water water" akimaanisha.. Kasimu hebu ni-simulie... ule m-mpambano kati ya mtibwa na majimaji...
HAHAHAHAAA
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by