Tulonge

wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini! mkulima mmoja akasogea kuwa -check na akaamua kuwazika wote! polisi walipofika eneo la ajali wakauliza "zipo wapi maiti" ? mkulima "nimezizika zote"polisi "una hakika walikuwa wamekufa wote"? mkulima akajibu, "WACHACHE WALIKUWA WANALALAMIKA KUWA HAWAJAFA, ILA SI UNAJUA WANASIASA WALIVYO WAONGO? MIE NIKAJUA WANADANGANYA TU"!....

Views: 638

Replies to This Discussion

Hahahahaaaaaa nahisi mkulima alikua na hasira na wanasiasa.

Kishachoka kila siku ana sikia kilimo kwanza kwenye magazeti tu na maredio

Ha ha ha haaaaaaaaaaa......hata mimi ningefanya hivyo hivyo kama huyo mkulima!

hahahahahaha! Sitakaa niwe mwanasiasa asilani......!

hahaaaa.. wengine walikuwa wamevunjika kidole tu lakini jamaa kawazika wote... hahahahaaaaaa

hahahaaaa!!

Alfan acha uoga...

Hhahahahaha1 Chaoga unajua ukiwa muongo na watu wakakujua kuwa ni muongo ikitokea siku ukasema ukweli hakuana atakayekuamini hata kidogo...Wanasiasa ndio walivyo porojo nyiiingi sana ndio maana jamaa kaona isiwe tabu ni kuwafukia tu...

ha ha ha ah a ni kweli kabisa mkuu ALFAN kawazika wakiwa hai teh teh teh teh sipati picha walivyokuwa wanapiga keleleee humo shimoni

Ha haa haaaa.... mkulima hakuamini ingawa bado wanapumua na kumuongelesha

Ndio hivyo mama wana siasa wa afrika kuingia madarakani ni ahadi za uongo na rushwa tu sasa watu wamewachoka

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*