Mtoto mmoja akaanza mimi baba yangu mwanajeshi aogopi mtu,Mwingine akajitapa baba yake mbunge noma,mwingine akasema mimi baba yangu doctor acha, Mtoto mmoja akasema mimi baba yangu noma hao baba zenu kwa baba yangu wanatulia na kuinamisha vichwa chini.Watoto wakashangaa!!!!! na wakamuuliza kwani wewe baba yako nani? Mtoto akawajibu BABA YANGU NI KINYOZI.
Tags:
Hapo hata Mr Rais wa nchi yoyote anainamisha kichwa....teeeeeeh.....unasikilizia kiwembe alafu moyoni ( " huyu jamaa hasije akanichana sehemu maana nina mkutano kesho") hahahahaaaaa
Hahahahahah
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by