Tulonge

NASIKIA SIKU  IZI  UNAKATIKA SANA WEWE,NI JANA TU NIMESIKIA UMEMKATIKIA BOSS WANGU  OFISINI ,NA LEO UMEMKATIKIA MUUZA BAR ,NA USIKU  HUU UMENIKATIKIA MIMI  CHUMBANI DUUUUUU! HUU  UMEME WA TANESCO JAMANI, KAZI KUKATIKA TU !.

Na Chalii_a.k.a_ILYA

Views: 1011

Replies to This Discussion

Ni kiuno @ Dis, wala wasikuchanganye mdogo wangu!!!!!!!!!!

Ha haa haaa..... umeamua kumwambia mdogo wako Dismas.

Christer said:

Ni kiuno @ Dis, wala wasikuchanganye mdogo wangu!!!!!!!!!!

Eeeeeeeh, maana naona mnaninyanyasia mdogo wangu

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*