Tulonge

Mama mmoja alikua akimlaumu mumewe kua ana tembea na mfanya kazi wa ndani, basi siku moja akamfukuza mfanyakazi alafu usiku akalala yeye ktk chumba cha yule mfanyakazi, ghafla mlango wa chumba ukafunguliwa na kukiwa giza yule alie ingia akalala na yule mama, baada ya tendo yule mama akasema "leo mume wangu nimekukamata, umekuja kustarehe na mfanyakazi wetu na leo nipo mimi" kuwasha taa kumbe alikua ni mlinzi wao wa geti tena mmasai. haiseee ilikua nomaaa!

Views: 1194

Replies to This Discussion

hapa ndo tunaambiwa fikiri kabla huja tenda.

Teh teh teh teh maza kaumbuka.Mambo ya kujifanya unamfuatilia sana mmeo.

Ila umanifurahisha hapo chini ulipoandika tena mmasai... Mbona umeweka mcctizo hapo?

vuta picha aliingia na siraha zake, rungu na upinde, pamoja na shuka lake (lubega), huyo maza hakuwai kutegemea kama ange lala na mlinzi wa kimasai.

ha ha haaaaaaaaaaaa.

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*