@alfan ungekwenda kwa dr kwanza kwauchunguzi zaidi au unaweza kujaribu kuchanganya unga wa mchele, maziwa uwe mzito , safisha uso na maji ya ndimu na maji safi kwanza , paka mchanganyiko wako kwenye uso wakati wa usiku ulale nao try this in 3-5 days
Comment by Alfan Mlali on October 22, 2010 at 18:16
Jamni nina chusi kibao sana, nifanyeje ili ziishe kabisa????
You need to be a member of Eye on Fashion to add comments!