Tulonge

Hapa tunaweza endelea kutoa maoni sasa,ili tumjue nani ni rafiki wa kweli na utamjua vp?Karibuni

Views: 1488

Replies to This Discussion

kwanza rafiki utamjua kwa matendo au upendo aliokuwa nao lakini rafiki huyo usimwamini sana mapema kwanza unamchunguza kwa muda nadhani utagundua tu kuwa huyu ndiye rafiki mwema.

Rafiki wa kweli, ni yule mnayefanana naye tabia, huyo ndo mzuri kwako kwsbb mnaendana tabia zetu

huwezi kuwa na rfk ambaye hamfanani tabia mtashindwana tu.

 

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*