Da kiukweli ni maumivu makali sana, usipompatia mwnmke wa aina hiyo atakuonesha dharau, dawa ni moja tu achana naye, lkn achana naye taratibu sio ghafla utaumia mwenyewe. Punguza muda wa kuonana naye na hata kuwsiliana utazoea tu ingawa itakughalimu ktk muda.