Tulonge

Mke/Mume wako anapenda vitu ghali na huna uwezo navyo, je utafanya nini rafiki yangu na umekufa kwake.

Views: 376

Replies to This Discussion

Ule wimbo wa MALAIKA utajibu swali lako Ramso! Nashindwa na mali sina...ningekuoa malaika...! Achana nae atafute mwingine mwenye FAT-WALLET!

Uking'ang'ania na kitu usichoweza maji yatakutokea puani....just call it quit!

Vinginevyo utaishia kama sio jela au kitanzi au chizi!!

Da kiukweli ni maumivu makali sana, usipompatia mwnmke wa aina hiyo atakuonesha dharau, dawa ni moja tu achana naye, lkn achana naye taratibu sio ghafla utaumia mwenyewe. Punguza muda wa kuonana naye na hata kuwsiliana utazoea tu ingawa itakughalimu ktk muda.

 

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*