Tags:
Du swali hili kali...!
Kwa maoni yangu kwanza kabisa rafiki huwezi ukachagua kama nguruka au bamia au nazi kule sokon Kariakoo!
Binadamu tunatofautiana na ni vigumu sana kumsoma mtu ni wa namna gani.....ili uweze ''KUMCHAGUA""N a si rahisi pia uwe na rafiki anayefanana na tabia zako 100%!! Tabia zinaweza kukaribia na zile uzipendazo tu!
Ndio maana mimi sipendi tumia neno kuchagua. Unaweza kuwa na marafiki wa kila namna,
bottle friend kama wewe ni mnywaji, katika michezo , kazini n.k.
Lakini rafiki halisi tunaweza kuzungumzia yule ambae ni kama ndugu yako...anajua yote na yuko tayari kwa hali na mali kukusaidia.
© 2019 Created by Tulonge.
Powered by