Tulonge

Views: 620

Attachments:

Replies to This Discussion

Angali mwenye tabia zinazoendana na ww
Ahsante Diana!


Ukiwa mwema, mwenye upendo,mchangamfu na unayejali wenzio basi hapo ni rahisi kupata marafiki wema kwani ndege wafananao huruka pamoja!
Ahsanteni marafiki zangu kwa mchango wenu!
pengine usafiri sana, uku ukiwatokea binti kadhaa.kama njoo huku knairobi hautaregret maishaini
Nitakuja siku 1 huko!
mke mwema ni yule aliyetoka kwa mungu, nadhani utajua tu mke mwema ni yup, kubwa ni kumwomba mungu sana atakusaidia

Du swali hili kali...!

Kwa maoni yangu kwanza kabisa rafiki huwezi ukachagua kama nguruka au bamia au nazi kule sokon Kariakoo!

Binadamu tunatofautiana na ni vigumu sana kumsoma mtu ni wa namna gani.....ili uweze ''KUMCHAGUA""N a si rahisi pia uwe na rafiki anayefanana na tabia zako 100%!! Tabia zinaweza kukaribia na zile uzipendazo tu!

Ndio maana mimi sipendi tumia neno kuchagua. Unaweza kuwa na marafiki wa kila namna,

bottle friend kama wewe ni mnywaji, katika michezo , kazini n.k.

Lakini rafiki halisi tunaweza kuzungumzia yule ambae ni kama ndugu yako...anajua yote na yuko tayari kwa hali na mali kukusaidia.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*