Tulonge

JE, UTAPIGA, UTAMPIGA MARUFUKU KUJA KWAKO AU UTAMUHAMISHIA MWANAO KWA BIBI YAKE?

Views: 542

Attachments:

Replies to This Discussion

Nitachapa wote wawili teh teh teh
Ntawafungisha ndoa ya fasta!
Je, kama bado wanasoma utawafungisha ndoa hivyo hvy? weee.... unacheza na Kikwete!
sasa si wameamua kufanya mambo ya wakubwa kabla ya wakati hivyo itabidi waingie kwenye ndoa kabla ya wakati..Maana kuwatenganisha itakuwa ngumu watatafutana tu wapeane mimba kabisa ili wakukomoe!

Ramadhan Ahmard said:
Je, kama bado wanasoma utawafungisha ndoa hivyo hvy? weee.... unacheza na Kikwete!
safi sana... kwahiyo watakuwa wanakata tawi walokalia? Basi acha ile kwao!!!
Lakini viboko si solution kabisa!

Mramba asali harambi mara moja ukiwakataza ndio kabisa asali inakuwa tamu zaidi itawafanya watafutane gizani....ni bora waachiliwe huru na mambo yao. Ila si vibaya kuwapa wosia au maneno ya busara na kuwaeleza uzuri na ubaya na wakati unaopaswa. Kama wataelewa watafuata kama sivyo basi hakuna adhabu inayofundisha vizuri kama kosa ambalo halikurekebishwa wakati maonyo yalisemwa kabla ya yake!

Viboko havisaidii, ndio kabisa unamfanya awe sugu!....Jamani nyie msifanye masihara na vitu vitamu...!!

Binadamu atapanda ukuta wa meter 7 ili aweze kufika katika bakuli la asali.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*