Tags:
Je, kama bado wanasoma utawafungisha ndoa hivyo hvy? weee.... unacheza na Kikwete!
Mramba asali harambi mara moja ukiwakataza ndio kabisa asali inakuwa tamu zaidi itawafanya watafutane gizani....ni bora waachiliwe huru na mambo yao. Ila si vibaya kuwapa wosia au maneno ya busara na kuwaeleza uzuri na ubaya na wakati unaopaswa. Kama wataelewa watafuata kama sivyo basi hakuna adhabu inayofundisha vizuri kama kosa ambalo halikurekebishwa wakati maonyo yalisemwa kabla ya yake!
Viboko havisaidii, ndio kabisa unamfanya awe sugu!....Jamani nyie msifanye masihara na vitu vitamu...!!
Binadamu atapanda ukuta wa meter 7 ili aweze kufika katika bakuli la asali.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by