Tulonge

HADITHI Discussions (12)

← Back to HADITHI
Discussions Replies Latest Activity

Lisemwalo Lipo: Sehemu ya Mwisho

Na Vitus Ngiliule Ghafla nilimuona mtoto mdogo mwenye umri wa kama miaka sita hivi akiwa amejifunga shuka jeupe lililokuwa liking’aa sana,…

Started by Tulonge

2 Jan 20, 2014
Reply by Vitus

Lisemwalo Lipo: Sehemu ya kumi na moja(11)

Na Vitus Ngiliule Mara tu baada ya kusimama aliigonga ile meza kwa nguvu akitumia mkono wake wa kulia, nilibaki nashangaa nisielewe ni nini…

Started by Tulonge

0 Dec 24, 2013

Lisemwalo lipo: Sehemu ya kumi(10)

Na Vitus Ngiliule Ile sauti ya mama iliendelea kuniita kwa nguvu mno na wakati nikiwa bado nahangaika katika lile giza ili niweze kumuona m…

Started by Tulonge

0 Dec 16, 2013

Lisemwalo lipo: Sehemu ya tisa(9)

Na Vitus Ngiliule Nilipotazama mlango huo wa kuingilia nilimuona yule dereva anangia akiwa ameshikilia ile briefcase nyeusi ya yule dada,…

Started by Tulonge

0 Dec 10, 2013

Lisemwalo lipo: Sehemu ya nane(8)

Na Vitus Ngiliule Nilijiuliza maswali mengi mno kichwani mwangu yasiyokuwa na majibu. Ile gari tuliyokuwemo iliingia moja kwa moja hadi il…

Started by Tulonge

1 Dec 6, 2013
Reply by Dixon Kaishozi

Lisemwalo lipo: Sehemu ya saba(7)

Na Vitus Ngiliule   Ghafla yule mtu alisimama na kuanza kuja ule upande wa siti yetu, sikuendelea kumtazama kutokana na ile hofu niliyokuwa…

Started by Tulonge

2 Nov 29, 2013
Reply by Tulonge

Lisemwalo lipo: Sehemu ya sita(6)

Na Vitus Ngiliule Wakati nikiwa bado nimeshikilia ile simu mkononi sielewi nini cha kufanya, ghafla nilishtushwa na sauti iliyotokea upande…

Started by Tulonge

2 Nov 19, 2013
Reply by Tulonge

Lisemwalo lipo: Sehemu ya tano(5)

Na Vitus Ngiliule Nilihisi moja kwa moja kuwa ile pini yule dada ndiye aliniwekea kwenye mkono wangu, lakini jambo la kushangaza nilipojari…

Started by Tulonge

0 Nov 11, 2013

Lisemwalo lipo: Sehemu ya nne(4)

Na Vitusi Ngiliule Hivi huyu dada atakua anaitwa nani? Nilijiuliza moyoni lakini cha kushangaza, hata kabla sijapaza sauti kumuuliza nilist…

Started by Tulonge

3 Nov 9, 2013
Reply by Tulonge

Lisemwalo lipo: Sehemu ya tatu(3)

Na Vitus Ngiliule Ilikua inaelekea majira ya saa nne asubuhi, kwa muda huu tulikua tunaingia morogoro na mara tu baada ya kuwasili tuliingi…

Started by Tulonge

9 Oct 28, 2013
Reply by Dixon Kaishozi

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*