KUAMBIANA KUH MAADILI PALE MMOJA KATI YETU IKIWA KAMA TUTAKOSEANA WENYEWE KWA WENYEWE NK
Members: 19
Latest Activity: Feb 23, 2014
Started by dorcas syldion Oct 15, 2012. 0 Replies 1 Like
tuko pamoja kaka ,ni kweli wakati umefika tuambiane ukweli bila kujali nani ni nani ili tufike tunakotakaContinue
Add a Comment
Hongera BASATA kwa kwa kazi nzuri na msiishie hapo Duly tuu na hata kwa wengine kama Kanga Moko,Ngoma Baikoko,
Kama kawa kama dawa Mkuu Gaitan pamoja nasi tena bila ya maandamano karibu tuyaenzi maadili yetu
PA1 SANA
Bila ya shaka Dixon hakika ujachelewa na karibu sana kwenye jahazi letu
Nadhani bado sijachelewa kiti kwenye hili jahazi.. Asante kwa kutuletea hili jahazi, natumaini litatufikisha salama! Pamoja mkuu!!
Hamna tabu Damnan
Karibu sana Angela
asante sana kaka DUNDA nimekaribia na tuko pamoja
NAMI ANGELA NDANI YA NYUMBA YA MAADILI LOL IPO SAFI SANA HII
Karibu sa´na Kaka Damnan,,,Pia Mzee Tulonge unakaribishwa mikono miwili Bila kukusahau Dada yetu mpendwa Latifa mwana wa Mohammed
Maadili tunasema kwenye ili jahazi hakuna kifungua mkoba
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of MAADILI NI AMANI TUAMBIANE to add comments!