Tulonge

Information

MAHANJUMATI

Members: 27
Latest Activity: Nov 28, 2012

Discussion Forum

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Jan 4, 2011. 5 Replies

  Karibuni ugali, kamba, kisamvu nakachumbariContinue

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 29, 2010. 1 Reply

 Mwili haujengwi na MatofaliContinue

Lunch Time!!!

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 26, 2010. 1 Reply

  Mchan MwemaContinue

Leo it weekend let try this at home sio kila siku ni mihogo tu

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by LATIFA MOHAMMED Nov 22, 2010. 5 Replies

 Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAHANJUMATI to add comments!

Comment by Dunda on August 15, 2011 at 2:52

Habari zenu kwa ujumla

Mimi naomba kufundishwa jinsi ya kupika maandazi na chapati 

 

Comment by Agnes Nyakunga on January 4, 2011 at 14:49
ahsante dada Latifa maana kaka Dis alikuwa na usongo na makande haya kula hilo sonsomoro
Comment by LATIFA MOHAMMED on January 4, 2011 at 12:02

 

tulonge makande hayo sema lengine na huo msemo wa kuftuwa uwache unapewa cheo cha kuitwa baba
Comment by Tulonge on January 2, 2011 at 7:47
Nataka makande na mtindi,waweza nipatia Agnes?
Comment by Agnes Nyakunga on December 31, 2010 at 9:00
@ Dis wataka makande na mtindi au makande ya kinyamwezi
Comment by Tulonge on December 31, 2010 at 2:52
Jamani makande siwezi pata hapa?
Comment by Bonielly on December 28, 2010 at 12:57
latifa mbona hutuwekei ugali na kisamvu
Comment by LATIFA MOHAMMED on December 28, 2010 at 10:43
@karibu joan na boniface ww ndio maana yake
Comment by Bonielly on December 27, 2010 at 11:01
anapikiwa halafu anatutamanisha huyu latifa
Comment by Joan on December 27, 2010 at 7:26
Jamani nimewaingilia hapa,mimi kwa kula ni balaa. Endeleeni kupika kwa bidii zote,nitakuwa nakuja kula
 

Members (25)

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*