sasa hii supu!!! ukiipata utaniambia maana ni utabiri tosha wa matokeo ya usiku mzima, ila huwa wanatumiaga sana wale ambao nguvu zao haziwezi kunyanyua kilo sabini nk, lkn wale ambao wako fiti kama mimi ha ha ha ha haaa, nikiipiga hii supu kama ni ngumi ulingoni utanitafuta upaya kama uzito wako ni unyoya ,
si mchezo mambo ya pweza! Lakini hii inanoga jioni wakati wa maandalizi ya kulala maana kwa wale ambao wanakuwa wamepania kwa Msosi wa Usiku hii ndo mwake!