Tulonge

Information

MAHANJUMATI

Members: 27
Latest Activity: Nov 28, 2012

Discussion Forum

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Jan 4, 2011. 5 Replies

  Karibuni ugali, kamba, kisamvu nakachumbariContinue

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 29, 2010. 1 Reply

 Mwili haujengwi na MatofaliContinue

Lunch Time!!!

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 26, 2010. 1 Reply

  Mchan MwemaContinue

Leo it weekend let try this at home sio kila siku ni mihogo tu

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by LATIFA MOHAMMED Nov 22, 2010. 5 Replies

 Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAHANJUMATI to add comments!

Comment by LATIFA MOHAMMED on November 4, 2010 at 13:12
karibu boni any time
Comment by Bonielly on November 4, 2010 at 11:47
@agnes, kama ulikuwepo sikupenda kupoteza kula yangu, @latifa, aksante mwali wangu,
Comment by LATIFA MOHAMMED on November 4, 2010 at 11:02
hongera kk
Comment by Agnes Nyakunga on November 4, 2010 at 10:46
Nalisikia ulikuwa ukisubiri hadi matokeo yake yatoke ndo urudi.
Comment by Bonielly on November 4, 2010 at 10:37
nimesharudi jamani yule mbunge wangu niliemchagua kapita,
Comment by Agnes Nyakunga on November 2, 2010 at 10:04
Latifa mambo! nambie habari ya uchaguzi, long time ago nipo tz.
Comment by LATIFA MOHAMMED on November 2, 2010 at 7:49
@hassan umeona mchele wa pishori @boni kila kheri kaka zawadi kwa wengi @agnes when are u come to tz
Comment by Agnes Nyakunga on October 29, 2010 at 17:46
safari njema kaka Bon kila la heri na uchaguzi mwema
Comment by Bonielly on October 29, 2010 at 17:05
jamani kesho naelekea A, TOWN kupiga kura maana nimejiandikishia huko si mnajua tena mambo ya maisha leo huku kesho kuleeee, jamani tukapige kura halafu nyumbani mapema katulie ili upange mikakati ya maisha ya familia yako, i lov u all
Comment by Bonielly on October 29, 2010 at 17:01
ulijuaje kama napenda togwa? mimi na hayo maziwa yenu ya mjini wapi na wapi?ndio maana mnakuwa mibonge, nakula mazaga ya asili ugali wa mtama na kuku wa kienyeji wa kupalika, maji ya madafu kwa sana tu, asubuhi chai ya rangi na maboga mchana kama kuna mahindi ya kuchoma shamba na maji kwa kwenda mbele, leo ukiniletea mazaga hayo utafanya tumbo langu lishanga, then nihalishe only, ukipeleka kijijini kwetu hivyo vitaozea ndani hawali ng'o
 

Members (25)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*