Tulonge

Information

MAHANJUMATI

Members: 27
Latest Activity: Nov 28, 2012

Discussion Forum

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Jan 4, 2011. 5 Replies

  Karibuni ugali, kamba, kisamvu nakachumbariContinue

mahajumati

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 29, 2010. 1 Reply

 Mwili haujengwi na MatofaliContinue

Lunch Time!!!

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Agnes Nyakunga Nov 26, 2010. 1 Reply

  Mchan MwemaContinue

Leo it weekend let try this at home sio kila siku ni mihogo tu

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by LATIFA MOHAMMED Nov 22, 2010. 5 Replies

 Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAHANJUMATI to add comments!

Comment by Agnes Nyakunga on October 29, 2010 at 16:02
nawe kaka Hassan njaa inakusumbua
Comment by Agnes Nyakunga on October 29, 2010 at 16:01
nawe kaka Hassan njaa tu inakusumbua
Comment by hassan damnan on October 29, 2010 at 16:00
bora uwe na nazi huo wali ummmmh nasikia harufu ya pishori dada
Comment by Agnes Nyakunga on October 29, 2010 at 15:44
ulijuwaje kama Bon mie nimeishi na wachina, nimekaa miaka kama kumi na tano hivi then nikarudi bongo baada yakuona nimewamiss wazazi wangu nahitaji kuwa nao jirani.
Comment by LATIFA MOHAMMED on October 29, 2010 at 15:29
any time patrick
Comment by patrick naiman on October 29, 2010 at 15:23
huo udirinki saafi kwa kushushia biskuti za tende!!!asante dada LATIFA kwa misosi ya ukweli lazima shavu liwe hihaa!!
Comment by LATIFA MOHAMMED on October 29, 2010 at 15:06
tembe ujuone kk mambo ya mapishi yao umezowe juise ya tongwa tu hahahaha
Comment by Bonielly on October 29, 2010 at 15:01
mbona maziwa yenyewe yana rangi? si unajua sisi wafugaji dada zangu? sasa mimi wa kijiji nifafanulieni nadhani mtakuwa mmechanganya na rangi ya zambarau, si et da @tifa, da agnes anatamani nilivyosema viura si najua alishawahi kuishi na wachina
Comment by LATIFA MOHAMMED on October 29, 2010 at 14:45
ok kk boni shushia na juice ya maziwa make sure glass na jug langu urudishe ok lol
Comment by LATIFA MOHAMMED on October 29, 2010 at 14:43

 

Members (25)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*