Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kuwa trehe 04/08/2013 kuanzia saa 8:00 mchana kutakua na kikao kikubwa na muhimu cha Wana Malangali Sekondari kitakachofanyika Landmark Hotel Ubungo Dar es Salaam.Hiki ni kikao cha kupitisha katiba ya Umoja Wana Malangali Sekondari na Mpango mkakati wa Harambee kubwa ya maendeleo.
Tafadhari mtaarifu na mwenzako ili tuwe Founders wa Umoja wetu.