Hili ni kundi la kuwakutanisha wale wote waliosoma Malangali High School Iringa ili kutuweka karibu zaidi kwa ajili ya kupeana habari mbali mbali muhimu,pia kukumbushana yale ya kipindi ile tukiwa skuli.
Members: 21
Latest Activity: Aug 3, 2013
Started by Tulonge. Last reply by jacquerin gideon makoyola Aug 3, 2013. 1 Reply 0 Likes
Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kuwa trehe 04/08/2013 kuanzia saa 8:00 mchana kutakua na kikao kikubwa na muhimu cha Wana Malangali Sekondari kitakachofanyika Landmark Hotel Ubungo Dar es…Continue
Started by Tulonge May 13, 2013. 0 Replies 0 Likes
Jana nimepokea taarifa toka kwa katibu wa wana Malangali (Agnes Nyakunga), kuwa Mwalimu NYAULINGO…Continue
Started by Tulonge Apr 4, 2013. 0 Replies 0 Likes
Frank Maige alisoma Malangali High School 2001-2003. Alifariki tarehe 1 Aprili 2013 baada ya kupooza sehemu ya mwili. Zifuatazo ni baadhi ya picha za shughuli ya mazishi yake toka hospitali ya…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Tulonge Jun 5, 2012. 1 Reply 1 Like
Parade, kumbe ilikua ni mwendo wa kaptura tu kama shule ya msingi.…Continue
Add a Comment
Siwezi amini kabisa kama bwana mtengela yu hai,kweli wa2 wanajua kumwaga mbigili...eti Mtengela hatunae tena duniani kumbe yungali tunagombania nae pumzi....ebwana hapo mzee Dis unanikumbusha mbali hususani napomwona kijani nyawili, aah...mashine ilikua inatisha hiyo,kuna nyingine ilikua inaitwa Foward halafu kule kuna Mtengela,namba hizo zilikua zinafungiwa library.
Tulonge umefanya jambo la mbolea sana kuweka iki kitengo....wadau nashukuru kwa kunikaribisha tulonge...pa1
nice pics dis,it was one of the best days i have ever had in y lyf,just gud days,im not sure if i have some pics bt i wil check on my memory safe.
Agnes,Keto na Hassan tupo pamoja sana mwanzo mgumu tukutane sana tubadilishane mawazo
nimekusoma Dis,Uko Fast sana kwa kufanyia kazi idea yangu tumepotezana sana wadau hapa ndo sehemu peke ya kubadilishana na kukumbushana mambo ya kuleeeeeeeeeee kilometa 18 toka highway ya zambia
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Malangali High School Alumni to add comments!