Hili ni kundi la kuwakutanisha wale wote waliosoma Malangali High School Iringa ili kutuweka karibu zaidi kwa ajili ya kupeana habari mbali mbali muhimu,pia kukumbushana yale ya kipindi ile tukiwa skuli.
Members: 21
Latest Activity: Aug 3, 2013
Started by Tulonge. Last reply by jacquerin gideon makoyola Aug 3, 2013. 1 Reply 0 Likes
Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kuwa trehe 04/08/2013 kuanzia saa 8:00 mchana kutakua na kikao kikubwa na muhimu cha Wana Malangali Sekondari kitakachofanyika Landmark Hotel Ubungo Dar es…Continue
Started by Tulonge May 13, 2013. 0 Replies 0 Likes
Jana nimepokea taarifa toka kwa katibu wa wana Malangali (Agnes Nyakunga), kuwa Mwalimu NYAULINGO…Continue
Started by Tulonge Apr 4, 2013. 0 Replies 0 Likes
Frank Maige alisoma Malangali High School 2001-2003. Alifariki tarehe 1 Aprili 2013 baada ya kupooza sehemu ya mwili. Zifuatazo ni baadhi ya picha za shughuli ya mazishi yake toka hospitali ya…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Tulonge Jun 5, 2012. 1 Reply 1 Like
Parade, kumbe ilikua ni mwendo wa kaptura tu kama shule ya msingi.…Continue
Add a Comment
lakini kaka Anangisye ni vema mkatuma ujumbe kwa njia ya cmu na imani tulishawahi kukutana wana malangali na wakaacha contatc zao.
kwa wanamalangali wote, siku ya jumamosi tarehe 6/4/2013 tunatarajia kuwa na kikao cha wanafunzi wote waliowahi kusoma shule ya sekondari malangali pale chonya inn ubungo river side kuanzia saa 8:00 mchana. ukiwa mwanamalangali unakaribishwa bila kukosa, uwepo wako ndio mafanikio ya kikao hiki.
imenikumbusha mbali sana nakumbuka hapo katika kibao cha shule niliwahi piga picha ngoja nikaitafute kwa kweli!
Nikiangalia hizo picha nakumbuka mbali sana aisee. Daah! ningeweza rudisha miaka nyuma ningefanya hivyo.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Malangali High School Alumni to add comments!