Mapenzi ni moja kati ya mambo yaliyo tawala sana katika ulimwengu huu kwa sasa. Hatuna budi kuchukua nafasi hii ili tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mapenzi.
Members: 78
Latest Activity: Dec 1, 2014
Started by Lilian. Last reply by david ngoiya Dec 1, 2014. 1 Reply 0 Likes
Kabla ya kuanza najua wale wanaume wenye vibamia watachukizwa na kuiponda mada hii. Ila huu ndiyo ukweli, wanawake tuliowengi huwa…Continue
Started by Tulonge Dec 31, 2013. 0 Replies 0 Likes
What makes men cheat? Dr Kamal Khurana,relationship counselor, dug through past research on male infidelity, and has even counseled couples…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Dec 23, 2013. 1 Reply 0 Likes
Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa na raha,ni lazima ukiandae vizuri..Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Nov 27, 2013. 1 Reply 0 Likes
Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda…Continue
Started by Lilian. Last reply by Bonielly Nov 25, 2013. 4 Replies 1 Like
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Nov 5, 2013. 1 Reply 1 Like
Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. MaumbileViungo vya uzaziViungo vya mahusiano vya mwanamke kwa kawaida bila…Continue
Started by Lilian. Last reply by Lilian Oct 6, 2013. 4 Replies 1 Like
Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko…Continue
Started by Joan. Last reply by Mama Malaika Oct 3, 2013. 8 Replies 1 Like
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na…Continue
Add a Comment
aiseee ngoja kwanza nikamhudumie shemeji wenu nitarudi
Ahsante sweetie@ christer
Hahahaaa Afadhali mimi nimepata wakunipokea mpaka chumbani.. Nakuja @ Christer!!
Karibuni Mgao, Richard, hahahahahhahaaaa Dixon wangu anataka wa kumpokea, karibu mpaka Sebuleni, jikoni mpaka Chumbani!!!!!!!!
karibu bwana Mgao jisikie huru na amani kabisa.
hodiiiiiiii
mimi hapa ni moja kwa moja hadi ndani manake nikisema hodi masela watanibania, na hivi mi ni handsome boy!
Wewe Kunambi huo mjadala wako uhamishie hapo juu kwenye discussion. Namaanisha "Add Discussion" yake hapo juu kam unavyooa discussions nyingine ili watu wachangie kwa mpangilio mzuri.
Jaman mmemkaribisha Sheikh Kunambi aje awape darasa la mahabat lail,yaani mahabat ya usiku,au mawadat........................naomba niseme aliyenialika hapa namshukuru sana.......sasa naanza na swali kama hamjui sema niwafafanulie, JE MNAJUA MWANAMKE ANA SEHEMU NGAPI ZA KUGUSWA ILI AJISIKIE KAMA YUKO DUNIA NYINGINE???NA JE MNAJUA MWANAMME ANA SEHEMU NGAP ZA KUGUSWA PIA ILI AJISIKIA KUA YUKO DUNIA NYENGINE??? kwa siye wataalam wa mambo haya ndo mana hatupendi kutongoza sana coz najua nikiwa na m girl hatopenda kutoka kwa Kunambi kwa vimbwanga atakavyofanyiwa hah hah hah karibuni......
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of MAPENZI to add comments!