Tulonge

Hii ni muhimu kwa wadada ambao hawajaolewa na wanapenda maisha ya ndoa

-Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
-Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
-Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
-Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini.
-Usiolewe sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na wajukuu.
-Usiolewe sababu wazazi na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchangiwa.
-Usiolewe ili uonekane umeolewa.
-Usiolewe kwa sababu umepata ujauzito.
-Usiolewe sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe.
-Usiolewe sababu unaona umri unakwenda.

Ndoa sio jumuia, ndoa sio destination, ndoa sio zawadi kwa wazazi, ndoa sio social status, ndoa sio watoto, ndoa sio kuondoa nuksi..

Olewa kwa sababu ni wakati wa Mungu wewe kuolewa, umempata mtu sahihi mnayependana kwa dhati, umeridhia kutoka moyoni bila kuwa influenced na kitu chochote.

Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto. Mngojee Bwana na hakika hatakuacha wala hajakusaha

Views: 650

Replies to This Discussion

uko sahihi sana,,,

Hiyo kaka D nimeipenda kwan umesema kwenye ukweli

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*