Tulonge

Je, unaikumbuka vzr cku ya kwanza kukutana na umpendae? na kama hukumbuki cku ni kitu gani kinakufanya ukmkumbuke? mziki, tamthilia, club, beach, kwenye bustani, guest au home?

Views: 697

Attachments:

Replies to This Discussion

Hapa naona giza tu.maana bado sijakutana naye.
kaka Dis acha kutudanganya kabisa au wewe padri tuambie tujue
kaka Dis acha kudanganya bwana
Me nakukmbuka ilikuwa 2003 mitaa ya home kulikw na dua, bac nilikuwa cbanduki hapo. Ni kula biskuti na keki mwanzo mwisho!
Masihara hayo Dis, ina maana wewe ni Bik.... wa kiume?
Nawe dada yangu mbn hujasema lako?
ninalo kaka Rama acha tu yana wenyewe
Hahhahaahaa mimi siyo badri.Mabinti wa siku hz mnapenda watu wenye mahela.Sisi akina kapuku mnatutosa sana,ndomaana nimeamua kuuchuna kwanza.
Agnes Nyakunga said:
kaka Dis acha kutudanganya kabisa au wewe padri tuambie tujue
Hahahahhaha mzee Rama huo ndiyo ukweli wenyewe.

Ramadhan Ahmard said:
Masihara hayo Dis, ina maana wewe ni Bik.... wa kiume?

Mhhhhhh picha hizo jamani

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*