Tulonge

ya rabbi atudumishe mapenzi yetu ya dumu .............wapenzi tuyazidishe yawachome wanadamu .............................furaha kwetu yazidii kwa nguvu zake karima................

mapenzi yako matamu ya salam ya salam kukicha ya zidii hamu kukicha ya zidii utamu

Views: 632

Replies to This Discussion

NAJUA HUU NI UJUMBE WA VALENTINE, ANKSANTE DA TIFA, KWA MASHAIRI YAKO BARDIIIIII, YENYE MAANZARI MURUA YA MAPENZI, i wish u, valentine day
hahahaha mia napenda kila siku sina siku maalum

nimekubali hata mimi kila siku,

hilo nalo neno kadiri cku zikipita ndo mapenzi yanakuwa motomoto, la leo linakuwa tofauti na la jana, mapenzi sio lazima uende kwa mganga bwana, dawa unayo mwenyeweeeeeeeee.
agnes ubunifu tuu

Jee, suali hivi haya MAPENZI mnayoyahubiri huzeeka na kuchakaa kama ambavyo nguo.

 

Maana ,Da Agnes ameashiria siku zikisonga yananogea mapenzi kuwa matamu bila ya kujali hali ya hewa kama upepo nao hupeperusha na kutetemesha mapenzi ukasikia " TETEMEKO LA MAPENZI MBAGALA YAMEUA KADHA WA KADHA..

 

Kwaheri....

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*