Tulonge

Unachokimiliki Hukijui Hadhi yake...............kikikutoka ndio unapojua hadhi na umuhimu wake

Views: 566

Replies to This Discussion

Ulijuaje Latifa kama ulikuwepo, we acha tu unafikiri kwa muda huo analo ajualo, cku yakifika kwa shingo sasa ninge ninge to late
Thidanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiii

Thamani tunazijua
Hahahahaaaaaa
Labda wadada ndo hawajui thamani ya vingine!
@erick sio kina dada tu subir kiondoke utakoma@agnes utabaki na mito kitandani unalia lol
mwache Erick hajaonja joto ya jiwe, cku ikimtokea atapata jibu.
Ni kweli kabisa
Upo Belita, Erick hajui
nikweli
Hayo maneno mdogo wangu! Akina Agness Nyakunga mnayasikia haya?
tuko wangapi kaka Kalolo nawe.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*